Kikosi cha Simba dhidi ya Malindi Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2019
Kikosi cha Simba dhidi ya Malindi Fc

Wakati kikosi cha kwanza cha Simba kikiwa jijini Dar es salaam kikiendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Sauora utakaopigwa kesho Jumamosi kwenye dimba la Taifa, kikosi kingine cha Simba kiko visiwani Zanzibar ambapo leo Ijumaa usiku kinashuka katika dimba la Amaani kuikabili Malindi Fc kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi.

Hiki hapa kikosi kinachoshuka dimbani visiwani Zanzibar:

1.Ally Salim
2.Zana Coulibaly
3.Asante Kwasi
4.Yusuph Mlipili
5.Paul Bukaba
6.Salum Shabani
7.Dickson Mhilu
8.Mohammed Ibrahim 'Mo'
9.Adam Salamba
10.Abdul Seleman
11.Yahya Mbegu



AKIBA

Ally Athuman
Andrew Michael
Mfaume Omari
Oscar Modest
Juma Gombero

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’