Tiketi za Platinum zinaelekea ukingoni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2019
Tiketi za Platinum zinaelekea ukingoni

Uongozi wa klabu ya Simba umewakumbusha mashabiki wake wanaotaka tiketi za Platinum kuwa tiketi hizo zinaelekea kumalizika. Ifikapo saa 10 jioni ndio utakuwa mwisho wa uuzwaji wa tiketi hizo.

Mashabiki watakaokata tiketi hizo zinazopatikana kwa Tsh 100,000/- watapatiwa huduma za kipekee.

Huduma hizo ni pamoja na;

. Watakaa sehemu ya VIP A.
. Wataacha gari zao hoteli ya Serena na kuchukuliwa na basi maalum kwenda na kurudi Uwanja wa Taifa wakisindikizwa na Polisi.
. Watapewa jezi mpya za Simba.
. Watapata viburudisho na vinywaji wakiwa uwanjani.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’