Simba kuikabili Malindi Fc nusu fainali Mapinduzi Cup leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2019
Simba kuikabili Malindi Fc nusu fainali Mapinduzi Cup leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo saa mbili na robo usiku kinashuka katika dimba la Amaan kuikabili Malindi Fc kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la Mapinduzi

Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wamebaki visiwani Zanzibar wakisubiri mchezo huo ambapo wameongezewa nguvu na wachezaji kutoka timu ya vijana ya Simba.

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameipa kipaumbele michuano hiyo na kama Simba itafanikiwa kutinga fainali, ameahidi kukirudisha Zanzibar kikosi cha kwanza baada ya mchezo dhidi ya JS Sauora

Aidha baada ya mchezo wa leo, baadhi ya wachezaji watasafirishwa kwenda Dar kuwahi mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Sauora utakaopigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa taifa.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’