Mashabiki wahamasishwa kununua jezi halisi za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jan 2019
Mashabiki wahamasishwa kununua jezi halisi za Simba

Keshokutwa Jumamosi, Januari 12 2019 mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba watashuka katika dimba la Taifa kuikabili JS Sauora kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa kundi D.

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki watakaofika uwanjani kuushuhudia mchezo huo kuhakikisha wananunua jezi halisi za Simba

Uongozi wa Simba umeshusha bei ya jezi zake kutoka Tsh 25,000/- mpaka Tsh 15,000/- ili kuwawezesha Wana Msimbazi wengi kuweza kuzinunua na keshokutwa kwenda kuupendezesha uwanja wa Taifa kwa rangi jeupe na nyekundu

"Tunakuhitaji wewe mshabiki uje ukiwa umevaa jezi Original ya Simba,nunua kwa mawakala wetu halisi,epuka kununua jezi feki," amesema

"Bei ni ubwete sh 15,000 tu toka 25,000. Sisi hatuwaombi Pesa wala hatuchangishi michango tunawaomba mnunue jezi za klabu yenu na mje kutushangilia Jumamosi"

Simba imerejea jana kutoka visiwani Zanzibar na moja kwa moja ikaingia kambini kufanya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na Wana Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’