Tiketi mpambano dhidi ya JS Sauora zaanza kuuzwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2019
Tiketi mpambano dhidi ya JS Sauora zaanza kuuzwa

Kwa watumiaji wa kadi za Selcom wanaweza kununua tiketi za mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya JS Sauora utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumamosi, Januari 12 2019

Aidha Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema tiketi za kawaida zitaanza kuuzwa siku ya Ijumaa katika vituo vya Posta Mpya, Karume, Uwanja wa Taifa, Klabuni Msimbazi, Big Bon Kariakoo na Sinza

Mashabiki wa Simba wameaswa kununua tiketi mapema ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza siku ya mchezo.

Siku ya mchezo, Jumamosi milango ya uwanja wa Taifa itafunguliwa mapema saa nne asubuhi ambapo bendi ya Twanga Pepeta itakuwepo uwanjani ikitumbuiza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’