Simba yarejea Dar kuiwinda JS Saoura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2019
Simba yarejea Dar kuiwinda JS Saoura

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura.

Simba iliondoka visiwani Zanzibar mapema leo Jumatano ikiacha baadhi ya wachezaji ambao wataongezewa nguvu na wachezaji wa timu ya vijana ya Simba kumalizia ratiba ya michuano ya kombe la Mapinduzi.

Simba imerejea jijini Dar es salaam ikiwa na msafara wa wachezaji 18.

Leo jioni Simba itaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’