Omog afanya kikao na Kamati ya Usajili Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Nov 2017
Omog afanya kikao na Kamati ya Usajili Simba
Kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog jana alifanya kikao na Kamati ya Usajili ya klabu hiyo inayoongozwa na Zacharia Hans Poppe.

Kikao hicho maalum kilikuwa kwa ajili ya kufanya tathmini ya kikosi na kuwasilisha mapendekezo kwa ajili ya maboresho.

Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho zimebainisha kuwa Omog hahitaji mabadiliko makubwa ambapo hajapendekeza klabu hiyo kumuacha mchezaji yeyote.

Hata hivyo kocha huyo ametaka safu ya ushambuliaji iimarishwe huku pia akihitaji kuongezewa mlinzi mwingine wa pembeni kutokana na majeruhi ya muda mrefu ya Shomari Kapombe

Simba pia huenda ikalazimika kusajili mlinda lango mwingine baada ya kuibaka kwa hofu kuwa mlinda lango wake namba mbili Said Mohammed 'Nduda' huenda akawa nje hadi msimu ujao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’