Simba yaondoka Zanzibar kurejea Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2019
Simba yaondoka Zanzibar kurejea Dar

Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka visiwani Zanzibar leo Jumatano asubuhi kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Sauora utakaopigwa Jumamosi, Januari 12 2019.

Wachezaji 18 wanarejea Dar kujiandaa na mchezo huo huku wengine wakibaki visiwani Zanzibara kuungana na wachezaji wa Simba B kuendelea na ratiba ya michuano ya kombe la Mapinduzi.

Wachezaji walioondoka Z'Bar

1.Aishi Manula
2.Deo Munishi Dida
3.Nicholas Gyan
4. Mohamed Hussein
5.Juuko Murshid
6.Pascal Wawa
7.Jonas Mkude
8.James Kotei
9.Clatous Chama
10.Hassan Dilunga
11.Haruna Niyonzima
12.Said Ndemla
13.Mzamiru Yassin
14.Shiza Kichuya
15.Rashid Juma
16.John Bocco
17.Emmanuel Anord Okwii
18.Meddie Kagere

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’