Pengo la Nyoni litazibwa - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2019
Pengo la Nyoni litazibwa - Aussems

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema ni pigo kwa timu yake kumpoteza mmoja wa wachezaji wake muhimu Erasto Nyoni aliyeumia viwisani Zanzibar katika michuano ya kombe la Mapinduzi.

Nyoni alipata majeraha ya goti katika mchezo dhidi ya KMKM na huenda akawa nje kwa wiki tano kulingana na ripoti iliyotolewa na Daktari wa Simba

"Erasto Nyoni atakua nje ya uwanja kwa wiki tano, ni mchezaji muhimu lakini kwa bahati mbaya atakosa mechi kubwa ya Simba wiki hii,"  Aussems aliwaambia waandishi wa habari jana

"Tayari ameumia na hatokuwepo uwanjani, nitawatumia wachezaji wengine na tayari nimeshawaambia."

Nyoni atakosa michezo miwili ya ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura (Jan 12) na AS Vita (Jan 19) pamoja na michuano ya SPortPesa Supera Cup inayoanza Januari 22-27 SImba ikitarajiwa kucheza na AFC Leopards Jana 23

Mganda Juuko Murshid anatarajiwa kuchukua nafasi ya kiraka Nyoni ambaye amekuwa mhimili muhimu wa kikosi cha Simba.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’