Mkude aungana na kikosi cha Simba Z'Bar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jan 2019
Mkude aungana na kikosi cha Simba Z'Bar

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude jana Jumapili alijiunga na timu yake iliyopo Kisiwani Zanzibar ikishiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi akitokea jijini Dar es Salaam alikokuwa na matatizo ya kifamilia.

Mkude amechelewa kujiunga na kikosi hicho kwa sababu ya matatizo hayo ambapo ilielezwa kuwa alifiwa na kaka yake.

Baada ya kujiunga na wenzake leo Jumatatu asubuhi alifanya mazoezi yake ya kwanza ambapo aliambiwa akimbie kuzunguka uwanja.

Wakati Mkude akipewa mazoezi hayo maalumu kabla ya kuanza kufanya mazoezi ya pamoja na wenzake straika Meddie Kagere naye alifanya mazoezi maalumu ili kujiweka fiti kwa kukimbia kuzunguka uwanja.

Kagere alifanya mazoezi hayo pamoja na yale ya kuchezea mipira chini ya kocha wa viungo Zrane Adel.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’