Nyoni kuwa nje kwa wiki tatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jan 2019
Nyoni kuwa nje kwa wiki tatu

Nyota tegemeo wa kikosi cha Simba kiraka Erasto Nyoni anatarajiwa kuwa nje kwa siku wiki tatu baada ya kupata majeraha ya goti kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya KMKM jana.

Nyoni aliumia mwishoni mwa kipindi cha kwanza kwenye mchezo huo ambao Simba ilishinda kwa bao 1-0.

Majeraha hayo yatamfanya Nyoni akose michezo miwili ya ligi ya mabingwa dhidi ya JS Sauora na AS Vita

Kuumia kwake ni pigo kwa kikosi cha Simba kutokana na umuhimu wake kwenye michezo hiyo.

Hata hivyo kukosekana kwake kutatoa nafasi kwa kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems kumtumia Juuko Maurshidi au Paul Bukaba kuziba nafasi yake.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’