Mabosi wa Simba watua Zanzibar, wateta na wachezaji, Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jan 2019
Mabosi wa Simba watua Zanzibar, wateta na wachezaji, Aussems

Viongozi wakuu wa klabu ya SImba jana walikuwepo uwanja wa Amaan kuwashuhudia vijana wao wakiilaza KMKM bao 1-0 kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi uliopigwa jana.

Ikumbukwe Simba imekuja Zanzibar ikiwa na malengo mawili, mosi kuhakikisha inatwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi unaoshikiliwa na Azam Fc lakini pia imetumia michuano hiyo kama sehemu ya mazoezi kwa kikosi chake ambacho Jumamosi ijayo kitakuwa uwanja wa Taifa kuikabili JS Sauora kwenye mchezo wake wa kwanza wa ligi ya mabingwa kundi D.

Viongozi hao wakiongozwa na Mkurugenzi mtendaji Cresentus Magori, Mwenyekiti Swedi Mkwabi, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi upande wa Mwekezaji Salim Abdallah 'Try Again' na Zawadi Ally walifika Zanzibar mapema jana na kufanya kikao na Benchi la Ufundi la Simba kabla ya mchezo dhidi ya KMKM

Simba huenda ikalazimika kugawa kikosi chake ili wachezaji wa kikosi cha kwanza warejee jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa huku wengine waendelee kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’