KMKM vs Simba : Ushindi kuisogeza Simba karibu ya nusu fainali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jan 2019
KMKM vs Simba : Ushindi kuisogeza Simba karibu ya nusu fainali

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba mda mchache ujao wanashuka katika dimba la Amaan kuikabili KMKM kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi, kundi A.

Vijana hao wa Patrick Aussems wanahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali ya michuano hiyo itakayofikia tamati Januari 13.

Simba inatumia michuano hiyo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wake wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Sauora utakaopigwa Jumamosi ijayo, Januari 12.

Aussems leo ameshusha kikosi chake kamili kama ilivyokuwa mchezo wa kwanza dhidi ya Chipukizi ambao Simba iliondoka na ushindi wa mabao 4-1

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’