Mshambuliaji kinara wa uoachika mabao ligi kuu ya Vodacom Emanuel Okwi bado hajarejea kutoka kwao nchini Uganda ambako alipata majeraha wakati anaitumikia timu ya Taifa.
Okwi hakuwemo kwenye kikosi cha Simba kilichoibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons Jumamosi iliyopita.
Okwi ameahidi atarjea kwa nguvu zote baada ya kupona majeraha yanayomkabili.

ADVERTISE HERE