Simba kamili kuikabili Chipukizi kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jan 2019
Simba kamili kuikabili Chipukizi kesho

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo asubuhi wamejifua katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar kujiandaa na mtanange wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Chipukizi Fc.

Simba iliwasili visiwani Zanzibar jana ikiwa na kikosi chake kamili.

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alisema watatumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Souara utakaopigwa Jumamosi, Januari 12 2019

Hapo kesho Chipukizi Fc itakuwa na kazi ya ziada kuwakabili vijana wa Aussems ambao wameiva hasa kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa

Wazanzibar wanausubiri kwa hamu mchezo huo ambapo wengi wamepangawishwa na uwepo wa washambuliaji 'pacha' watatu wa Simba, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi na John Bocco.

Jana Kagere alipata wakati mgumu Simba ilipowasili Bandarini ambapo mashabiki wengi 'walimgombania' wakitaka wapige nae picha.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
31m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’