Baada ya kuwasili visiwani Zanzibar leo mchana, jioni hii kikosi cha Simba kimejifua kujiandaa na mchezo wake wa kwanza wa michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Chipukizi Fc.
Simba itacheza na Chipukizi keshokutwa, Ijumaa.

ADVERTISE HERE