Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba tayari kimewasili visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.
Simba imetua Zanzibar mchana wa leo Jumatano, Januari 02 2019.

ADVERTISE HERE