Baada ya safari ndefu kutoka Mbeya na kisha kupewa mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba kimerejea mazoezini leo kikijiandaa kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11 dhidi ya Lipuli, Novemba 26.
Simba inajifua katika dimba la Polisi, Kilwa jijini Dar es Salaam.
Baada ya mchezo dhidi ya Lipuli, ligi inatarajiwa kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya Chalenji inayotarajiwa kuanza Disemba 03.
Matokeo ya ushindi yataihakikishia Simba iendelee kubaki kileleni.

ADVERTISE HERE