Klabu ya Simba jana ilipata msiba mkubwa kwa kufiwa na mmoja wa Wanachama wake wa muda mrefu Revocustus Cosma Sangu aliyefariki Kibaha, mkoani Pwani.
Sangu alikuwa mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya Zabuni ya uwekezaji wa klabu ya Simba, Zabuni ambayo alishinda Bilionea Mohammed Dewji 'MO'.

ADVERTISE HERE