Michuano ya kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2019 inatarajiwa kuanza kesho kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar.
Simba imethibitisha kushiriki michuano hiyo na inatarajiwa kuondoka siku ya Jumatano January 02 ikiwa na kikosi chake kamili
Itashuka dimbani Januari 04 kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Chipukizi
Michezo yote itarushwa na mbashara na Azam TV
Ratiba

ADVERTISE HERE