Chama ahusika katika mabao saba ya Simba Disemba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Dec 2018
Chama ahusika katika mabao saba ya Simba Disemba

Kiungo anayetajwa kuwa bora zaidi kwa sasa nchini Clatous Chama 'CCC' amehusika katika mabao saba kati ya 15 yaliyofungwa na Simba kwa mwezi Disemba 2018 katika michuano yote.

Mabao yake matatu aliyafunga kwenye michezo ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mbabane Swallows (2) na Nkana Fc (1).

Chama pia amehusika kutengeneza mabao manne kwenye ligi katika mwezi huu ambapo juzi alitengeneza mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 3-1 wa Simba dhidi ya Singida United.

Chama amekuwa mchezaji kipenzi cha mashabiki katika kikosi cha Simba kutokana na uwezo wake mkubwa anaonyesha katika michezo mbalimbali.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’