Simba yapeleka Burudani kamili Zanzibar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Dec 2018
Simba yapeleka Burudani kamili Zanzibar

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wanatarajia kuelekea visiwani Zanzibar siku ya Jumatano, Januari 02 2019 kushiriki michuano ya kombe le Mapinduzi wakiwa na kikosi kamili.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, mabingwa hao wa kihistoria Afrika Mashariki watatumia michuano hiyo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura utakaopigwa Jumamosi ya Januari 12 2019.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’