Aussems ataka umoja Simba ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Dec 2018
Aussems ataka umoja Simba ligi ya mabingwa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ametoa neno baada ya timu yake kupangwa kundi D katika droo ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika iliyofanyika jana nchini Misri.

Simba iko kundi D pamoja na Al Ahly, JS Soura na AS Vital Club.

Aussems amesema kundi hilo liko wazi kwa kila timu kuweza kufuzu. Anatarajia kuwepo ushindani mkali baina ya timu zote.

"Hili kundi liko wazi. Litakuwa na michezo ya kusisimua. Hakika tuna nafasi ya kutinga robo fainali muhimu tuungane pamoja kuhakikisha tunafanikiwa," amesema Aussems

Michezo ya hatua ya makundi inatarajiwa kuanza kupigwa Januari 11-13 2019 Simba ikitarajiwa kuanzia nyumbani dhidi ya JS Soura ya Algeria

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
50m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’