Simba kuanzia nyumbani dhidi ya JS Saoura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2018
Simba kuanzia nyumbani dhidi ya JS Saoura

Baada ya kupangwa kwa makundi leo, ratiba ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa kundi D inaonyesha Simba itaanzia nyumbani dhidi ya JS Saoura ya Algeria ambayo hivi karibuni imemsajil Thomas Ulimwengu.

Aidha, Simba pia itamaliza mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya AS Vital Club ya Dr Congo.

Mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi utapigwa kati ya Januari 11-13 2019.

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida United hapo kesho, wataweka hadharani mkakati kabambe wa kuhakikisha Simba inafanya vizuri kwenye michuano hiyo.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’