Simba yapangwa kundi D ligi ya mabingwa barani Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2018
Simba yapangwa kundi D ligi ya mabingwa barani Afrika

Droo ya Makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo nchini Misri ambapo Simba imepangwa kundi D pamoja na AL AHLY(Misri), AS VITAL CLUB(Congo) na Club SAOURA (Algeria)

Haya hapa makundi yote

Baada ya kupangwa kwa makundi, Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema mkakati wa kwanza kwa Simba ni kuhakikisha inashinda michezo yake yote ya nyumbani

Manara amesema wanatambua hatua hii itakuwa ngumu lakini wana imani kuwa Simba itafanya vizuri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
24m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’