Safari ya Salamba Ubelgiji yaiva

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2018
Safari ya Salamba Ubelgiji yaiva

Timu ya Standard League inayoshiriki ligi kuu ya Ubelgiji imekuwa ikimfuatilia mshambuliaji wa Simba Adam Salamba na sasa imempa nafasi ya kwenda kufanya majaribio.

Salamba aliyetua Simba mwezi Juni 2018 anatarajiwa kuondoka wiki ijayo kufanya majaribio hayo akitarajiwa kukaa huko kwa wiki nzima.

Salamba ameifungia Simba mabao matatu katika ligi ya Tanzania Bara msimu huu. Kutokana na umri wake, huu ni wakati sahihi kwake kwenda kujaribu bahati yake.

Uongozi wa Simba umejipambanua kwa kuwa na kawaida ya 'kutowabania' wachezaji wake wanapopata nafasi ya kwenda kucheza soka nje ya nchi.

Mbwana Samatta na Emannuel Okwi ni mfano wa wachezaji ambao wamenufaika na utaratibu huo wa Simba.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’