Droo ya makundi ligi ya mabingwa ni leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2018
Droo ya makundi ligi ya mabingwa ni leo

Droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inafanyika leo nchini Misri ambapo Tanzania itawakilishwa na Simba.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Swedi Nkabi anatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo inayofanyika leo jioni

Simba imefanikiwa kuwa miongoni mwa timu 16 bora ambazo zitapangwa katika makundi manne.

Katika kila kundi timu mbili zitakazomaliza nafasi za juu zitatinga robo fainali.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’