Mechi za wikiendi hii za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zinazozihusu Simba na Yanga zitachezwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Hiyo inafuatia Uwanja wa Uhuru kuwa na matumizi mengine ya kijamii na wakati huo huo, Uwanja wa Taifa bado haujaruhusiwa kwa matumizi kufuatia ukarabati wa eneo la kuchezea.
Yanga watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons ya Mbeya Jumamosi wakati Simba wataikaribisha Lipuli ya Iringa Jumapili katika mfululizo wa Ligi Kuu mjini Dar es Salaam.

ADVERTISE HERE