Kocha Mashujaa FC 'augwaya' mziki wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Dec 2018
Kocha Mashujaa FC 'augwaya' mziki wa Simba

Mkufunzi wa Mashujaa Fc ambayo leo inacheza na Simba uwanja wa Taifa katika mchezo wa kombe la FA (ASFC), ameweka wazi kuwa timu yake itakumbana na wakati mgumu kuikabili Simba ambayo imejipambanua kwa kuwa na kikosi kipana.

Aidha kocha huyo amesema hafahamu timu yake leo itachuana na Simba ipi? ile iliyoichapa KMC 2-1 au ile iliyotinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kuichapa Nkana Fc mabao 3-1?

Wakati kocha huyo akiingiwa na 'mchecheto', uongozi wa Simba umesema hautadharau mchezo huo na wanatarajia kocha Mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems ataweka kikosi cha ushindani kuhakikisha wanatinga hatua ya 32 bora.

Simba haipaswi kudharau mchezo huo kwani inayo kumbukumbu ya msimu uliopita ilipotolewa na Green Worriors baada ya kudharau mchezo.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’