Kaizer Chiefs yamkomalia Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Dec 2018
Kaizer Chiefs yamkomalia Okwi

Kulingana na taarifa zilizoripotiwa na vyombo vya habari nchini Uganda, Kaizer Chiefs iko mbioni kumsajili mshambuliaji tegemeo wa Simba Emmanuel Okwi ambaye leo amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.

Chiefs imeanza kumfuatilia Okwi kwa muda mrefu na uongozi wa Simba uliikataa ofa ya kwanza iliyotumwa na klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini.

Hata hivyo Chiefs imetuma ofa nono zaidi inayoripotiwa kuwa dola laki moja (zaidi ya Mil 250) ikielezwa tayari makubaliano binafsi yamefikiwa baina ya Okwi na Chiefs na huenda mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Uganda akatua Chiefs mwezi ujao

Simba huenda ikalazimika kumuuza Okwi kwani mkataba wake unamalizika mwezi wa sita mwakani.

Kama hatauzwa au kuongezwa mkataba mpya basi ataondoka akiwa mchezaji huru mkataba wake utakapomalizika.

Ofa iliyotolewa na Chiefs ni kubwa kiasi kwamba Simba inaweza kuitumia kusajili hata wachezaji wawili wa Kimataifa wenye uwezo kama au zaidi ya Okwi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’