Amri Said atajwa kumrithi Djuma Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2018
Amri Said atajwa kumrithi Djuma Simba

Aliyekuwa kocha Mkuu wa Mbao Fc Amri Said anatajwa kukaribia kuchukua mikoba ya Masudi Djuma aliyetimuliwa miezi michache iliyopita kuwa kocha msaidizi wa Simba.

Tangu kuondoshwa kwa Djuma Simba haina kocha Msaidizi, majukumu yote yamekuwa yakisimamiwa na Kocha Mkuu Patrick Aussems ambaye jana ameingia katika historia kwa kuiwezesha Simba kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.

Amri alijiuzulu kuinoa Mbao wiki iliyopita akipinga timu hiyo kumuajiri Ali Bushiri kuwa Msaidizi wake.

Amri beki wa zamani wa Simba ndiye aliyeiongoza Mbao Fc kupata ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Simba uliopigwa jijini Mwanza.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’