MO awapongeza wachezaji Simba, asema lengo ni ubingwa Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2018
MO awapongeza wachezaji Simba, asema lengo ni ubingwa Afrika

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' amewapongeza wachezaji wa timu hiyo na benchi la ufundi  kwa kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.

Simba imetinga makundi kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-3 bada ya leo kuifumua Nkana Fc mabao 3-1 kwenye mchezo uliopigwa dimba la Taifa.

MO amesema lengo kuu la Simba ni kutwaa ubingwa wa Afrika, hivyo matokeo yaliyopatikana leo ni mwanzo wa kuikamilisha ndoto hiyo.

"Hongereni Simba, Narudia tena: Lengo letu ni kuwa Mabingwa wa Afrika!," ameandika MO kwenye ukurasa wa mtandao wake wa Instagram.

MO ndiye anayechochea mafanikio ya Simba akihakikisha wachezaji wenye sifa wanasajiliwa kutoka mahali popote sambamba na kusimamia maslahi mazuri ya wachezaji hao

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1m ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
23h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’