Nchi itasimama kwa muda kesho - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Dec 2018
Nchi itasimama kwa muda kesho - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema nchi itasimama kwa muda kesho wakati Simba mabingwa wa Tanzania Bara watakaposhuka dimbani kuikabili Nkana Fc kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa.

Manara amesema kesho ni siku ya kipekee kwa mashabiki wa Simba kwani wanakwenda kuandika historia nyingine katika dimba la Taifa.

"Sahau kuhusu lile nyomi la SIMBA DAY ambalo mashabiki elfu 53 na ushee waliingia uwanja wa Taifa, kesho tunajaza siti zote," alisema

"Tunawataka mashabiki wetu waje uwanjani kwa wingi, mageti yatafunguliwa mapema."

"Kesho ni kufa na kupona, tuje kwa wingi tudhihirishe kuwa sisi ndio timu pendwa na yenye historia iliyotukuka katika michuano ya kimataifa"

Mchezo dhidi ya Nkana Fc unatarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’