Aussems ataka mabao ya mapema kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Dec 2018
Aussems ataka mabao ya mapema kesho

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema amewapa maelekezo wachezaji wake kuhakikisha wanafanya mashambulizi ya nguvu kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Nkana Fc na kuweza kufunga mabao mapema.

Simba inahitaji ushindi wa bao 1-0 tu kuweza kutinga hatua ya makundi lakini Aussems raia wa Ubelgiji amesema watahitaji kufunga mabao mengi ili kujiweka katika mazingira mazuri zaidi.

"Tunahitaji kushinda bao 1-0 ili tuweze kusonga mbele. Lakini nimewaelekeza wachezaji wangu wahakikishe wanafunga mabao zaidi ili kujiweka salama," amesema Aussems

"Tutacheza kwa kushambulia lengo tufunge bao la mapema ili tuweze kuumiliki mchezo."

Homa ya mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa kesho Jumapili, imezidi kupanda huku mashabiki wakiendelea kuhamasishwa ili wafurike kwa wingi 'kwa mchina' kuwapa sapoti mabingwa hao wa Tanzania Bara.

Wapinzani wa Simba, Nkana Fc wako nchini tangu Jumatano iliyopita na leo jioni wanatarajiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
25m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’