Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons jana, kikosi cha Simba kimeondoka jijini Mbeya kurejea Dar es salaam leo.
Simba itashuka tena dimbani Jumamosi ijayo, Novemba 26 kuivaa Lipuli ya mkoani Iringa.
Imekuwa nyanda za juu kusini kwa wiki mbili tangu ichuane na Mbeya City Novemba 05.

ADVERTISE HERE