Mchezo dhidi ya Singida United wasogezwa nyuma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Dec 2018
Mchezo dhidi ya Singida United wasogezwa nyuma
Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba dhidi ya Singida United ambao awali ulipangwa kupigwa Disemba 30 kwenye uwanja wa Taifa, sasa utapigwa Disemba 29.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, sababu ya mabadiliko hayo ni kutokana na uwanja wa Taifa kuwa na matumizi mengine Disemba 30

Simba, mabingwa wa Tanzania kwa sasa wako 'busy' na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc unaopigwa keshokutwa Jumapili

Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterans kuiwinda Nkana ambayo iko nchini tangu juzi Jumatano

Simba inahitaji ushindi wa bao 1-0 ili kutinga hatua ya makundi
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’