Uongozi wa klabu ya Simba umesema umetoa wachezaji wanne kwa mkopo kwenda timu nyingine ili kulinda viwango vyao.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara, wachezaji waliotolewa kwa mkopo ni Marcel Kaheza aliyepelekwa AFC Leopards ya nchini Kenya, Said Mohammed 'Nduda' kapelekwa Ndanda Fc, Rashid Mohammed kapelekwa KMC na mchezaji wa nne ni Salum Juma aliyekuwa kikosi cha pili cha Simba ambaye amepelekwa timu ya Ashanti ya Ilala.
"Tumewapeleka kwa Mkopo Wachezaji wetu wanne katika klabu kadhaa na wachezaji hao ni Marcel Kaheza anaekwenda AFC Leopards ya Kenya, Mohammed Rashid (KMC), Saidi Mohammed(Ndanda FC) na Salum Juma Ishaka wa under 20 anaekwenda Ashanti FC ya Ilala"
"Pia kama mnavyojua Simba imesajili mchezaji mmoja tu katika dirisha dogo ambae ni Zana โCAFU โCoulibaly raia wa Burkina Faso toka klabu ya Asec ya Ivory Coast"

ADVERTISE HERE