Kaheza apelekwa AFC Leopards kwa mkopo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Dec 2018
Kaheza apelekwa AFC Leopards kwa mkopo
Klabu ya Simba imemtoa mshambuliaji wake Marcel Kaheza kwa mkopo kunako klabu ya AFC leopards inayoshiriki ligi kuu ya nchini Kenya.

Kaheza ni miongoni mwa wachezaji ambao uongozi wa Simba umewapeleka katika timu nyingine ili wapate nafasi ya kucheza ili kulinda viwango vyao

Wengine waliotolewa kwa mkopo ni mlinda lango Said Mohammed (Ndanda Fc) na Mohammed Rashid (KMC)

Kaheza amelelewa katika timu ya vijana ya Simba kabla ya kusajiliwa na Majimaji kwa msimu mmoja na alirejea Msimbazi mwanzoni mwa msimu huu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’