Nawaamini wachezaji wangu wote - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Dec 2018
Nawaamini wachezaji wangu wote - Aussems
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema uamuzi wa kubadilisha kikosi kizima kwenye mchezo wa jana dhidi ya KMC aliuchukua akiwa na malengo lakini pia anawaamini wachezaji wake wote.

Akizungumza baada ya mchezo huo ambao Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1, Aussems alisema ana imani kubwa na kila mchezaji katika kikosi chake hivyo hakuwa na hofu kuwapanga katika mchezo huo.

"Nawaamini wachezaji wangu wote. Ndio maana leo mmeona nimebadilisha kikosi kizima kilichocheza mchezo uliopita," alisema

Aussems pia amesema uamuzi huo aliuchukua huku akiwa na malengo na mchezo wa Jumapili wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana FC.

Kikosi cha mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara sasa kinaelekeza nguvu zote kwenye mchezo huo wa ligi ya mabingwa kikihitaji ushindi wa bao 1-0 ili kuweza kutinga hatua ya makundi

Tayari wapinzani wao Nkana Fc wameshawasili nchini ambapo jana wawakilishi wa timu hiyo walikuwepo uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo wa Simba dhidi ya KMC
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’