Kwa moto huu Okwi lazima awe mfungaji bora

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2017
Kwa moto huu Okwi lazima awe mfungaji bora
Emanuel Okwi mshambuliaji wa Kimataifa wa Simba ameshapachika mabao sita kwenye michuano ya ligi kuu ya Vodacom.

Idadi hiyo ya mabao amefunga katika michezo miwili tu kati ta mitatu aliyocheza.

Kwa mfumo unaotumiwa na kocha Joseph Omog sioni kitakachomzuia Okwi kuwa mfungaji bora msimu huu na bila shaka ataisaidia Simba kutwaa ubingwa.

Okwi ni mjanja, licha ya kucheza pembeni, hupenda kuvizia kwenye mstari wa mwisho wa walinzi wa timu pinzani.

Aidha uelewano mzuri aliotengeneza kati yake na viungo Mzamiru Yassini na Haruna Niyonzima ni dhahiri utachaingia yeye kuibuka mfungaji bora.

Sifa nyingine kubwa aliyonayo ni uwezo wake mkubwa wa kufunga kwa mashuti ya mbali. Okwi ana mahesabu makali sana, maamuzi yake ni ya haraka.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’