Coulibaly ruksa kuitumikia Simba leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2018
Coulibaly ruksa kuitumikia Simba leo
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems leo anaweza kumtumia beki mpya wa kulia wa timu hiyo Zana Coulibaly kwenye mchezo dhidi ya KMC baada ya kibali chake kuwasili.

Coulibaly alitua Simba mwishoni mwa mwezi Novemba akitokea klabu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast

Amekuwa akijifua katika kikosi cha Simba akisubiri kibali hicho cha uhamisho wa Kimataifa (ITC) ambapo uongozi wa Simba umethibitisha tayari kimewasili

"Zana Oumar Coulibaly anayo ruhusa kwa sasa kucheza Ligi kuu na kocha Patrick Aussems anayo nafasi ya kumpanga leo dhidi ya KMC ikimpendeza," ilisema taarifa ya msemaji wa Simba, Haji Manara
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’