Dilunga afungiwa michezo mitatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2018
Dilunga afungiwa michezo mitatu
Kiungo wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba Hassan Dilung ataukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC baada ya kufungiwa michezo mitatu na Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kitendo cha kuchelewa kutoka uwanjani katika mchezo dhidi ya Lipuli Fc.

Katika mchezo huo uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana, Dilunga na Ibrahim Job wa Lipuli Fc walichelewa kutoka uwanjani wakati wa mapumziko tukio lililohusishwa na imani za kishirikina.

Wachezaji wote wamefungiwa michezo mitatu na pia kupigwa faini ya laki tano kila mmoja
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’