Kikosi cha Nkana Fc kinatarajiwa kuwasili nchini leo usiku tayari kwa mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili, Disemba 23 kwenye dimba la Taifa.
Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha ujio wa Nkana Fc ambayo itatua kwa usafiri wa Shirika la Ndege la Kenya.
Simba itakuwa na mchezo wa kiporo wa ligi dhidi ya KMC kesho Jumatano kabla ya kuwavaa Nkana siku ya Jumapili kwenye mchezo ambao mshindi wa jumla atatinga hatua ya makundi.
Nkana ilishinda mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza hivyo kuifanya Simba ihitaji matokeo ya ushindi wa angalau bao 1-0 ili iweze kupindua matoeko na kutinga hatua ya makundi.

ADVERTISE HERE