Manara awataka mashabiki wajitokeze kwa wingi mchezo dhidi ya KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Dec 2018
Manara awataka mashabiki wajitokeze kwa wingi mchezo dhidi ya KMC
Wakati kampeni ya KUFA NA KUPONA kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana FC ikipamba moto, kesho Jumatano mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili KMC katika mchezo wa kiporo.



Simba ina michezo mitano ya viporo, mchezo wa kesho ni miongoni mwa michezo hiyo ambayo matokeo ya ushindi ni muhimu sana.

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kesho kuiunga mkono timu yao ili iweze kuibuka na ushindi.

Manara amesema wanatambua umuhimu wa mchezo huo na wanafahamu wanahitaji kushinda ili kutovuruga mipango ya kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo

Amesema wanatarajia kikosi kitakachoshuka dimbani kesho kitakuwa na mabadiliko kidogo lengo likiwa kuwaweka wachezaji wote katika hali nzuri ya kiushindani kabla ya kuwavaa Nkana Fc Jumapili
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’