Tumefuata pointi sita Mbeya na tumezipata

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Nov 2017
Tumefuata pointi sita Mbeya na tumezipata
Nahodha wa Simba John Bocco amesema malengo ya kuondoka na alama zote sita mkoani Mbeya yamekamilika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons leo.

Akizungumza baada ya mchezo, Bocco aliyefunga bao pekee la Simba amesema wamefarijika na matokeo hayo na sasa wanajiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Lipuli Novemba 26.

Bocco alifunga bao la 'kideoni' baada ya kugeuka na kuachia kombora lililotinga wavuni akitumia makosa ya walinzi wa Prisons.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’