Jumapili tutamaliza kazi uwanja wa Taifa - Bocco

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Dec 2018
Jumapili tutamaliza kazi uwanja wa Taifa - Bocco
John Bocco Nahodha wa Simba, mabingwa wa soka Tanzania Bara amesema wamepania kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya Nkana Fc utakaopigwa Jumapili ijayo, Disemba 23 kwenye uwanja wa Taifa.

Bocco aliyefunga bao la Simba katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia na kumalizika kwa wenyeji Nkana kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, amesema wanayo nafasi ya kufuzu hasa ikizingatiwa watakuwa wakicheza nyumbani

"Tutapambana zaidi ya mchezo wa kwanza ili kuhakikisha tunapata matokeo ambayo yatatupeleka hatua ya makundi," amesema Bocco

"Kama wao waliweza kupata matokeo ya ushindi wakiwa kwao, basi nasi kwa kushirikiana na benchi la ufundi tutaweza kushinda hapa nyumbani"

Simba itahitaji ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo huo wa Jumapili ili waweze kutinga hatua ya makundi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
4h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
4h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
7h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’