Uongozi wa klabu ya Simba kesho Jumanne Disemba 18 utazungumza na waandishi wa habari kueleza mikakati ya timu hiyo kuelekea mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc.
ADVERTISE HERE