Cheti cha uhamisho wa Kimataifa (ITC) cha mlinzi wa kulia wa Simba Zana Coulibaly kimewasili na sasa mlinzi huyo anaruhusiwa kuitumikia Simba katika michezo ya ligi na kombe la FA (ASFC).
Coulibaly huenda akaanza kuitumikia Simba kwenye mchezo wa ligi wa keshokutwa dhidi ya KMC na baadae mchezo wa kombe la FA dhidi ya Mashujaa FC.
Coulibaly alitua Simba mwishoni mwa mwezi Novemba 2018 kuchukua nafasi ya Shomari Kapombe anayeendelea na matibabu nchini Afrika Kusini baada ya kupata majeraha wakati akiitumikia timu ya Taifa
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alisifu uwezo wa mlinzi huyo raia wa Burkina Faso aliyesajili kutoka klabu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.
Aussems alisema Coulibaly atakuwa na msaada mkubwa kwa Simba wakati wote ambao Kapombe atakosekana.
kapombe huenda akawa nje kwa zaidi ya miezi mitatu

ADVERTISE HERE