Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea salam nchini usiku wa kuamkia leo kikitokea nchini Zambia
Simba imetua saa 9:20 usiku

Simba imetoka Zambia kucheza mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc.
Mabingwa hao wa nchi watashuka dimbani keshokutwa Jumatano kuikabili KMC kwenye mchezo wa kiporo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kabla ya kurudiana na Nkana Fc Jumapili ijayo, Disemba 23 2018

ADVERTISE HERE