Basi la Simba lakarabatiwa tayari kuwarudisha mashabiki Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Dec 2018
Basi la Simba lakarabatiwa tayari kuwarudisha mashabiki Dar
Basi la klabu ya Simba ambalo lilipata ajali juzi nchini Zambia wakati likiwapeleka mashabiki kuipa sapoti timu kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc, limefanyiwa ukarabati mdogo tayari kurejea nchini na mashabiki hao.

Basi hilo lilipata ajali juzi wakati likielekea mjini Ndola baada ya kugongana na Lori maeneo ya Kapiri Mposhi nchini Zambia.

Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kuwa basi hilo limefanyiwa ukarabati na liko tayari kuanza safari ya kurejea nchini.



Kikosi cha Simba tayari kimeondoka Zambia na kinatarajiwa kuwasili nchini saa 9:40 usiku wa kuamkia kesho
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’